Shule ya Sekondari Kishumundu inafundisha michepuo ya Biashara na sayansi pamoja na sanaa.
Masomo ya sayansi yanayofundishwa shuleni ni Baiologia, Fizikia, Kemia, Hisabati pamoja na masomo ya sanaa kama. Historia, Kiswahili, Jiografia, uraia na Kiingereza na masomo ya Biashara na utunzaji wa Mahesabu, pia shule inafundisha masomo ya Sayansi na Teknolojia kama kompyuta na masomo ya Vitendo.
Wanafunzi wa kidato cha tatu wakijifunza kwa vitendo somo la kemia katika chumba cha maabara.
Wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiwa darasani katika kipindi cha baiyologia.