KARIBU KWENYE TOVUTI YA SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU

Shule ya Sekondari Kishumundu ili anzishwa mwaka 1985 ni shule inayomilikiwa na kanisa katoliki jimbo kuu la moshi,shule ipo uru kishumundu ni umbali wa kilomita 9 kutoka moshi mjini.

Shule ya sekondari Kishumundu inafundisha michepuo ya Biashara na sayansi pamoja na sanaa.

Masomo ya sayansi yanayofundishwa shuleni ni Baiologia, Fizikia, Kemia, Hisabati pamoja na masomo ya sanaa kama. Historia, Kiswahili, Jiografia, uraia na Kiingereza na masomo ya Biashara na utunzaji wa Mahesabu, pia shule inafundisha masomo ya Sayansi na Teknolojia kama kompyuta na masomo ya Vitendo.

 

 

Gari jipya la shule ya Sekondari Kishumundu kutoka kwa wadhamini wanaotokea shule ya Ujerumani inayoitwa (Helfen macht Schule).

Mnara wa internet ukiwa kwenye matengenezo kwa ajili ya huduma ya internet katika shule ya Sekondari Kishumundu.

 

Contact

Share this pages with friends

Flyer / Overview

 

Please visit our Latest News page for information about recent activities

at our school.

 

Our School: How everything started (Pics) - Historical Pictures of KSS

Successful teaching

Kishumundu Secondary School (School Registration No. s0492) in 2016 on position no. 471 of 3280 schools (= within the TOP 15%) in the final National Examinations of form IV students.

 

Kilimanjaro Skills Support: A new organization to support the development of our school was founded.

 

Online Study Resources at TETEA.

 

Great hand-over ceremony of the girls dormitory extensions. Please visit Latest News for more information!