Kishumundu Sekondari ni Shule inayo milikiwa na Kanisa katoliki Jimbo kuu la Moshi mkoani Kilimanajaro. Shule hii ilianzishwa mwaka 1985. Shule ina wanafunzi wa kutwa na bweni, jumla ya wanafunzi ni 287, wasichana 134 na wavulana 153 wasichana 82 ni bweni na 52 ni kutwa pia wavulana 76 ni bweni na 77 ni kutwa.

Shule hii ina mchepuo wa Sayansi na Biashara pia masomo ya kopyuta na masomo ya kujifunza kwa vitendo kama kilimo, na sanaa.

 

 

Wanafunzi wa kijisomea nje ya madrasa wa kisubiri kuingia kwenye mitihani ya mwezi

Contact

Share this pages with friends

Flyer / Overview

 

Please visit our Latest News page for information about recent activities

at our school.

 

Our School: How everything started (Pics) - Historical Pictures of KSS

Successful teaching

Kishumundu Secondary School (School Registration No. s0492) in 2016 on position no. 471 of 3280 schools (= within the TOP 15%) in the final National Examinations of form IV students.

 

Kilimanjaro Skills Support: A new organization to support the development of our school was founded.

 

Online Study Resources at TETEA.

 

Great hand-over ceremony of the girls dormitory extensions. Please visit Latest News for more information!